Je, umewahi kuhisi kama mitandao ya kijamii inapoteza muda wa biashara yako? Naam, turekebishe hilo! Ulimwengu wa uuzaji mtandaoni unabadilika kila wakati, kwa hivyo niruhusu niendelee kukufahamisha mabadiliko. haya na jinsi ya kukabiliana nayo
Show hii itakupa muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara, Subscribe usipitwe!
Show more